手机游戏> Cagamsa Akl> 游戏攻略
Cagamsa Akl
Changamsha Akili ni application inayokuchangamsha akili kwa kukumbusha maswali yanayohusu mambo tofauti ambayo yapo kwenye vipengele hivi:- vichekesho, imani kiislam, iman kikristo, michezo, siasa, mapenzi, elimu mtaani, mapishi na masomo ya darasani. cheza gamu hii ya maswali ya kuchagua wewe na watoto wako ambao wako shule. Furahia kuelimika mambo mengi usiyoyajua na unayoyajua.